Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: MBEZI INN
Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi
Distance: DAKIKA 12 KUTOKA MOROGORO ROAD 🚶
PRICE: 350,000 × 6
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA ZURI
✅️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✅️PARKING SPACE KUBWA 🚗
✅️INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✅️YANAFLOW NDANI 24HRS
✅️RESERVE TANK
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp