Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
💧 APARTMENT YA VYUMBA 2 (HAINA MASTER ), SEBULE, JIKO , CHOO
💰KODI: 500,000 TSH KWA MWEZI
📆 MIEZI 6
💡LUKU UNAJITEGEMEA NA MAJI
💥 APARTMENT
💧FENSI ✅,PARKING ✅
📍LOCATION MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI(KARIBU NA EFM RADIO)
Contact
0625584914