Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
LOC.. MSUGURI 8DKK
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VYA WASTANI
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
❌HAKUNA FENSI
USALAMA UPO ONDOA SHAKA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD UNATEMBEA DK 8-10 UPO KWENYE NYUMBA
AU PIKIPIKI 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
#MSHATIREALESTATE



















