Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STAND KM 1.5
BARABARA NZURI YA LAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 UPO NDANI
SIFA ZAKE:
UMEME LUKU YAKO
MAJI YA BILL DAWASA
WANASHEAR WAPANGAJI 2 TU
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET NDANI 🚻
KODI 200,000 × 4/5/6
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp