Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mjimwema, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI
(APARTMENT )
🇹🇿📍Location :MJIMWEMA KIGAMBONI DAR)
🗣Vyumba VIWILI vya kulala ,Siting room,Kimoja Ni master (yaani self contained), JIKO ,Maji yasiyokuwa na chumvi,Luku ,Tiles, pubic toilet, Gypsum, slidewindow, PARKING,parving brocks,
🤝BEI LAKI TANO(
500,000/=) NA MWEZI MMOJA WA DALALI
___
🏍Service charge Elfu 20 TZS hadi unapata nyumba utakayoipenda💯
___
Kwa mawasiliano zaidi
☎️CALL
📶0686 705 903