Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam


🏠 2 BEDROOM APARTMENT FOR RENT
LOCATION – MWENGE TRA
💰 800,000 TZS per month
📅 Malipo miezi 7
✨ Vyumba viwili vya kulala (2 Bedrooms)
✨ Sebule kubwa ya kisasa
✨ Jiko na choo safi
✨ Ipo sehemu nzuri karibu na huduma zote muhimu
📞 Piga: 0678 512 666