Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam





APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA
Inakua wazi tare 10/2/2026 rukusa kuja kuona na kulipia unasubili kuingia
Bei:500,000/ Per Month
Payment Terms: 6 Months in Advance
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:30,000
📍LOCATION: TABATA KIMANGA MBYUNI
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- Dakika 10 kutoka Main Road
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 2 Vya Kulala
📍1 Master bedroom
📍Sebule
📍Jiko Safi
📍Mafeni juu
📍Public toilet
📍Space parking Car
📍Peving block zinawekwa
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
➡️Apartments za kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls:
06595O7709



















