Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: TABATA MIGOMBANI STAND
Usafiri Ni Bajaji 1000 Zipo External Zinapitia Jeshini Njia Ya Maji Chumvi Na Ukishuka MIGOMBANI STAND Unatembea Kwa Mguu Dakika MOJA Unaingia Ndani
Price: 400,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa ZURI
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Inajitegemea UMEME Na Maji
✅️DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Parking Space Available 🚘
✅️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp