Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Full a/c
Parking yakutosha
Kodi 800,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















