Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 800000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Dining room
Kitchen with Cabinet
Store
Public toilet ndani
Luku yake
Fully A/C
Hita Maji Moto na Baridi
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
CCTV camera
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565