Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT 
LOCATION 
UBUNGO MAKOKA 
KM 2 TOKA MOROGORO ROAD 
USAFIRI BAJAJ DALALALA UPO 
BEI NI 400,000/=X4
SIFA ZAKE 
=========
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER 
SEBULE KUBWA SANA DINNING 
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA 
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA 
FENSI SAFI HAKUNA PARKING 
NOTE
ITAKUWA WAZI TAREHE 02/10
SERVICE CHARGE NI 15,000/=
MALIPO YAA DALALI MWEZI 1 
CONTACT📲
0713661530_0783661530




















