Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Kibo Dakika 15 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom Kubwa sana na Balcony ya Kupumzikia
Sitting Room Kubwa sana
Dining room table
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Hita Maji Moto na Baridi
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565