Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI FOR RENT
LOCATION: UBUNGO KIBO
DISTANCE: DAKIKA 10 KUTOKA MOROGORO ROAD
KODI 250,000 ร 6
๐SEBULE KUBWA SANA
๐VYUMBA 2 HAKUNA MASTER
๐JIKO KUBWA ZURI
๐PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI ๐ป
๐LUKU Na MAJI INAJITEGEMEA
๐HAINA FENCE GARI HADI SITE
๐USALAMA KAMA LUGALO
๐GOOD ENVIRONMENT ๐
NOTE: INARUDIWA KUPAKWA RANGI NDANI Na NJE
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp