Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Location Ubungo Riverside Kibangu
Kodi 280000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
================
Room 2 za Kulala
Sitting room Kubwa
Dining room
Jiko
Public toilet ndani
Luku
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Garden nzuri
Nyumba zipo 2 tuu
Mazingira yake Mazuri
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565