Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
KM 2 USAFIRI BAJAJI DALADALA
BEI NI 250,000/=X6
SIFA ZAKE
_____________
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
#SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
APARTMENT HII HAINA JIKO
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
Contact 📲
0713661530_0783661530