Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU
Distance: KM 1.5 Kutoka Mandela Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500,Boda 1000
Ukishuka Dk 1 Unapiga Geti Teke
Price: 500,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Vyumba Vyote Ni Master Bedroom
✅️Kitchen With Cabinet
✅️Store Kubwa
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️LUKU Independent
✅️Water Meter Independent
✅️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Fenced
✅️Full Security 24HRS
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking Space Kubwa 🚘
✅️Good Environment 👍
📌BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
NB: INAKUWA WAZI SOON KUONA KULIPIA RUKXA MPANGAJI AKIWEPO
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp