Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment kali sana
@
Inapangishwa
@
Bei 700,000 kwa mwez
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ipo maeneo ya ubungo
@
Ni vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja ni master
@
Fensi parkingi IPO
@
Umeme na maji mita yako
@
Grama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687