Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA
SIFA ZAKE
==========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA JUU NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NYUMBA NI MPYA KABISA INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA CM HARAKA
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0683234124
0718367179