Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Location Ubungo Kibo Msewe Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 350000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602