Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#300X6 NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KUTOKEA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN NA USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBAN 
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
SIFA ZAKE 
=========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE 
NYUMBA INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU 
NA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MWENYEWE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN NA RESEV TANK LIPO 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















