Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







🇹🇿NEW Apartment Classic For Rent
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali Wa Kutembea Kwa Miguu Dakika 10 Kutoka Kituoni
Barabara Nzuri Mpaka Getini 🚘
✍️Sebule Kubwa
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa la Kisasa
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Full A/c
✍️Heater Ya Maji Moto
✍️Store Kubwa
✍️Umeme LUKU Inajitegemea Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS, Reserve TANKS
✍️Good Environment 💥
PRICE: 800,000 × 6
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp