Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ukonga, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
VYUMBA VIWILI VYOTE NI MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA
CHOO CHA PUBLIC NJE
UMEME MAJI INAJITEGEMEA
NYUMBA IPO KWENYE FENCE
PARKING SPACE KUBWA
#LOCATION UKONGA MOMBASA MOSHIBAR
#BEI 230,000 KWA MWEZI
SERVICE CHARGE 20,000
UKILIPIA NYUMBA UNALIPA ADA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0785088191
0715800811