Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Uwanjani, Songwe







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 70O
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 3 UMEFIKA
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 300,000 X 4,5,6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI