Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


โโ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
# JIKO KUBWA SANA
# PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO #MIVUMONI_MWISHO_NJIA_YA_MADALE AU UKITOKEA TEGETA UNAPITIA NJIA YA WAZO HILL HADI MIVUMONI MWISHO NA KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA MIVUMONI HADI KWENYE NYUMBA NI DK 2 TUU UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅNJI YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747