Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


π‘ APARTMENTS ZINAPANGISHWA β WAZO KONTENA | TSH 500,000
Fursa nzuri ya kupanga kwenye apartment za kisasa zilizopo ndani ya fensi moja.
π Mahali: Wazo Kontena
Muundo wa Apartment (Iliyowazi):
ποΈ Vyumba 2 (1 ni master)
ποΈ Sebule
π½οΈ Dining
π³ Jiko
π½ Public toilet
β
Mazingira salama na tulivu
β
Maji ya uhakika
β
Fensi imara kwa usalama zaidi
π° Kodi: TSh 500,000 kwa mwezi
π Wasiliana:
#0758998074π
#0689138795whatsapp
#ApartmentInapangishwa #WazoKontena