Kiwanja kinauzwa Boma, Iringa


PAGALE/BOMA ZURI BEI RAFIKI MNO, MAJIHE RADAR/GONGO LA MBOTO.
Kiwanja kina ukubwa Mita za Mraba 1,300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Jumla kuna vyumba vya kulala 8 na ambavyo kila kimoja kina Choo chake ndani.
PIGA SIMU HARAKA KABLA HUJACHELEWA.
______________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________________mpg