Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza


Kiwanja hiki kinauzwa Kiko Buswelu Nyamadoke Mwanza kinafaa kabisa kwa Uwekezaji wowote km Apartments au Guest House hasa ukizingatia mahali kilipo Kiko senta kabisa Barabara mpya inayoelkea Nyamongoro stand kina ukubwa hatua 35 kwa 100 Bei yake ni ml38 mazungumzo yapo ila mafupi kwa mteja serious . Tupigie 0767346478 au 0686887297🗣️