Kiwanja kinauzwa Hazina, Dodoma


SOKONI LEO MKALAMA KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA KINA FENSI PANDE ZOTE KAMA KINAVYO ONEKANA
NI UMBALI WA KM 4 ADI KM 5 KUTOKA MJINI KATI
DOCUMENTS HATI
SQM 700
BEI 30m
NI MOJA YA ENEO PENDWA NA LINALO JENGEKA KWA KASI KUBWA SANA HII NI KWASABABU NI KARIBU SANA NA MJINI NA NIKARIBU SANA NA OFISI NYINGI ZA UMMA
KM 1 ADI ILIPO MAHAKAMA KUU MPYA
KM 2 ADI ULIPO UKUMBI WA JAKAYA CONVENTION CENTER
KM 2 ADI JENGO LA KAMBARAGE TOWER
KM 2 ADI ILIPO TREASURY SQUARE DODOMA AU JENGO LA HAZINA
NI KARIBU PIA NA TAKWIMU HOUS
NK
TUNAKUKARIBISHA UNAWEZA KUWEKEZA HAPA KIBIASHARA AU KWA MAZI
TUNAPATIKANA DODOMA MJINI MTAA WA UHINDINI MKABALA NA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
0745200984
0747999997