Kiwanja kinauzwa Ihumwa, Dodoma


KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA IHUMWA ELSHADAI JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 668 sq.m
Kina HATI
Kina fensi upande mmoja
Kipo dakika moja toka lami
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 19,000,000/= ( milioni kumi na tisa tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"