Kiwanja kinauzwa Ilala, Dar Es Salaam


NYUMBA I N A U Z W A TZS 47 MILIONI
LOCATION MBONDOLE WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TZ
NYUMBA INA APARTMENT 2
APART YA KWANZA INA
✓ VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
✓ SEBULE
✓ JIKO
✓ PUBLIC
NA YA PILI HIVYO HIVYO INA FAA KWA FAMILIA 2 ( KAMA UNA WAKE 2 HII HAPA INAKUFAA)
PIA KWA KUPANGISHWA PIA MAOKOTO UTAOKOTA VIZURI.
UKUBWA WA ENEO SQM 400
DOCUMENT MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
UMBALI KUTOKA STEND YA MWEMBEI MBONDOLE KWENDA KWENYE NYUMBA MITA CHACHE UPO SAITI
BEI TZS 47 MILIONI
NIPIGIE 0784156583/0627885467
WHATSAPP
0656011897
SERVICE CHANGE 30 OOO