Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU KWA MWINYI JIJINI DODOMA
Mahali; Iyumbu
Eneo ukubwa; 706 sq.m
Sifa; kipo mita 700 kutoka lami
Miundombinu ipo
Huduma za kijamii zipo
Kimepimwa
Nyaraka zote zipo
Bei; 6,000,000/= ( miliioni sita tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"