Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📌UPDATED MAP YA KIGAMBONI- KIMBIJI(POTEA)
📌PUNGUZA KUJIULIZA BOSS, na KUOMBA USHAURI, KILA UTAKAEMUOMBA USHAURI ANAKWAMBIA KIGAMBONI PAMEMKALIA KUSHOTO SASA JIULIZE WANAONUNUA NI KINA NANI😂😂😂
📍WATU HAWAKWAMBII UKWELI, njoo ujipatie kiwanja chako kwa bei rafiki na malipo hadi ya mwaka mzima
📌Anza na laki tatu na nusu, na ulipe laki tatu na nusu kwa miezi 12 kwa kiwanja cha SQM 600, ukianza na kianzio kikubwa na hela ya kila mwezi inapungua boss
📌Anza na laki nne na kumi, na ulipe 410k kw miezi 12, ukianza na kianzio kikubwa zaidi unalipa pesa ndogo kwa mwezi
✅CASH PIA TUNAPOKEA 7,000 kwa Sqm
📍38km kutoka FERRY
📍35 km kutoka darajani
📍4km kutoka main road ya KIMBIJI
🚖SITE VISIT NI KILA JUMAMOSI
☎️0718354943/ 0659540265