Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


*NYUMBA INAUZWA NA BANK*
IPO KIMARA KOROGWE MAJI CHUMVI ROAD
Ina Vyumba Vitatu Kimoja self, Dinning,Sitting, Kitchen&Public Toilet
Ukubwa Wa Eneo: SQM 700
Umiliki: HATI MILIKI TITTLE DEED
Umbali: Meter 20 hivi Kutoka Barabara kuu Maji Chumvi Road to Korogwe
Bei : 35 Million
Gharama Za Kwenda Site (service charge) Ni Tshs 30,000/=
Karibu tuwasiliane 0746 433 854