Kiwanja kinauzwa Majohe, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI ZA KISASA PAMOJA,TSHS.110 MILIONI,MAJOHE.
Ni jirani ya Shule ya Msingi Majohe.
Hii ni nyumba ya kisasa.
Nyumba ya kwanza ina yumba 5 (Masta 1) Sebule, Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ya Pili Ina vyumba 3.
Pia kuna Frem mbili ya Biashara.
HAPA UTAISHI NA KUOANGISHA WENGINE NA KUINGIZA PESA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM 900.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
+255714591548
______________mpg
Nyumba ni ya kisasa na ina AC, Parking salama na pia Ina huduma ya Maji safi.
WAHI KABLA HUJACHELEWA.