Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


Nyumba inauzwa,
Kigamboni_Toangoma,
Ina vyumba vinne,
Vitatu ni master,
Sebule na dinning kubwa.
Stoo na jiko,
Public toilet ndani na nje.
Ukubwa 400 Sqm.
Mtaa wa kishua, umetulia.
Nyumba ina hati (title deed)
Mmiliki mmoja.
Bei mil 230.
Maongezi mnakaa mezani.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638