Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KARIBU KWAKO AMBAE UMEKUWA NA NDOTO ZA KUWA MWEKEZAJI
ENEO NI ZURI SANA IT'S A CORNER PLOT
ENEO LINA MAFREMU MENGI YA MADUKA NA YOTE YA A WAPANGAJI NA NI ENEO LA CORNER PLOT.
UNAWEZA KUPANJNUA KISHA UKAWEKA FREMU ZA GHOROFA NIKIMANISHA ZA CHINI NA JUU
AU UKAPAACHA KAMA PALIVYO.
BEI MILLION 600 MAZUNGUMZO KIDOGO YAPO
PLOT SIZE. 1,137 SQM
DOCUMENT TITLED DEED YA WIZARA YA ARIDHI
1.SIFA ZA ENEO HUSIKA.
KIWANJA NI CORNER PLOT
2.ENEO TAJWA LINATAZAMA KABISA LAMI.
3.NI ENEO ZURI SANA LA KIBIASHARA MAANA
FREM ZOTE ZIMEJAA WAOANGAJI
4.KWA NDANI YA ENEO HUSIKA KUNA SEHEMU AMBAYO UNAWEZA KUWEKA VITU VIWILI KWA MTAZAMO WA HARAKA.
A. HOTEL
B. APARTMENTS NYINGI ZA GHOROFA NA PARKING IPO YA KUTOSHA.
MAWASILIANO.
-KASINGE
-Dalali Tanzania
0657 77 77 71 WhatsApp&calls.
0747 25 77 71 normal calls only