Kiwanja kinauzwa Mkonze, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 200 KUTOKA LAMI KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA MKONZE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,050 sq.m
Kipo mita 200 kutoka LAMI
Kina fensi upande mmoja
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kina HATI
BEI ni Tshs. 18,000,000/= ( milioni kumi na nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"