Kiwanja kinauzwa Nzuguni, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA NZUGUNI A JIJINI DODOMA
Mahali; Nzuguni A
Eneo ukubwa; 600 sq.m
Sifa; Kipo kilometre moja toka lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Bei; 14,000,000/= ( milioni kumi na nne tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"