Kiwanja kinauzwa Pugu, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Pugu Road kama unaelekea Chanika kituo ni TALIANI
↪️↪️Nyumba inaumbali wa Mita mia 400 kutokea Barabara kuu ya Lami
↪️↪️Nyumba Ina Vyumba 4 vya kulala Kimoja ni Master Bedroom na vyumba vyote ni Full Air Condition pamoja na Wall Cabinets
↪️↪️Nyumba Ina Gorofa 1
↪️↪️Nyumba Ina Sebule Mbili ya Chini na ya juu
↪️↪️Nyumba Ina Swimming Pool kubwa ambayo ni 10 by 5 Vipimo
↪️↪️Nyumba Ina Mabafu 4 na vyoo 4
↪️↪️Nyumba Ina Servant Kota yenye Chumba Cha kufulia nguo pamoja na Home Office na Choo na Bafu vya nnje na pia Ina Chumba Cha kuhifadhi mashine ya Swimming pool
↪️↪️Nyumba Ina Electric Fence pamoja na Kibanda Cha Mlinzi Getini
↪️↪️Nyumba Ina Telecommunication Yani Simu za kuwasiliana ndani ya Nyumba katika Kila mahali
↪️↪️Nyumba Ina jiko la ndani lenye Stoo yake pamoja na Dining room
↪️↪️Square Meter za kiwanja chote ni 1000
↪️↪️Bei yake ni millioni 350,000,000/= maongezi yapo na nyumba in hati kabisa
☎️☎️0746 225054