Kiwanja kinauzwa Tambalale, Tabora






KIWANJA KIZURI SANA TAMBALALE KABISA KINAUZWA BEI MILIONI 25 WAI NDUGU MTEJA
KIWANJA KIPO UBUNGO RIVER SAID KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500 BODA BUKU BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KIWANJA KINAUKUBWA WA SQUARE MITA 300 KIMEPIMWA KABISA BADO TU KUPATA HATI
KIWANJA KINAFAA KUJENGA APARTMENT ZA BIASHARA AU MAKAZI BINAFSI HILA APARTMENT NDIO 👍
KIWANJA KINADOCOUMENT HALALI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
WAI NDUGU MTEJA KIWANJA CHA MJINI HICHO
0746 433 854