Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


๐JAMANI HIVI NDIVYO TUNAMAANISHA TUKISEMA MJI WETU WA KIBAHA PANGANI UNAKUA KWA KASI
๐HALAFU NI KARIBU SANA NA MOROGORO ROAD
๐UMBALI NI KM 3 TU KUTOKA MOROGORO ROAD NA 1KM TU KUTOKA LAMI INAYOELEKEA BAOBAB
๐VIWANJA VYETU VIMEPIMWA KUANZIA SQM 500 NA KUENDELEA
๐HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KWENYE MRADI
๐YANI HUNUNUI UKASUBIRI, NI UNANUNUA NA KUJENGA
๐TUMEZINGATIA MNOOO BARABARA, BARABARA ZETU NI MITA 20 KWA MITA 10 KWA BARABARA ZA NDANI
๐CASH: 14,500/SQM , mfano 20 kwa 25 ni sqm 500
14,500*500 = 7,250,000
๐INSTALLMENT : 15,000/SQM, mfano 20 kwa 25 ni Sqm 500
15,000*500 = 7,500,000
UNAANZA NA 50 % kama MALIPO YA AWALI AMBAYO NI 3,725,000 na UNALIPA 50% inayobakia ndani ya MIEZI 6 BAADA YA MALIPO YA AWALI
โ๏ธ0659540265/ 0718354943
๐SITE VISIT NI KILA SIKU
๐TUPO JENGO LA IPS, 5th floor, POSTA MPYA