Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


*SIFA ZA MRADI*
📌 Mradi upo mita chache tu kutoka CHEKA STAND , unaingia upande wa Kushoto Kutokea Kigamboni .
📌Mradi upo karibu na shule ya msingi ya AMANI GOMVU , takribani 100M kutoka shule iyo ya msingi .
🔥Mazingira ya mradi umezungukwa na makazi ya watu , na huduma za kijamii.
✅️ Njia panda ya kuelekea AYA SOPHIA ndipo mradi ulipo
💰Malipo ya Cash 1 sqm kwa 25,000/=
💰Malipo ya Installment 1 sqm kwa 30,000/= unaanza kwa kutanguliza asilimia 20% malipo ya awali.
📌Malipo ya miezi 12 Kwa kulipa kidogo kidogo.
☎️0743930000
☎️0760193333