Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


African Palm ni moja ya miradi yetu ya kigamboni. Uko 22km kutoka Ferry na 21km kutoka Daraja la Mwalimu Nyerere.
Uko Karibu na Dar es salaam Zoo.
Mahitaji yote ya kijamii yanapatikana Kama umeme | Maji na Barabara. Bila kusahau kuwa Hati yako jukumu letu.
Bei ya mradi ni 40,000 kwa Sqm.