Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI.

Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri wewe, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee😅

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale, vizuri saaana.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Jamani simu ziite
📞 0711677199 au 0744847199.

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYU...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Nyumba ina uzwa Kigamboni Mikwambe Nyumba ina Vyumba Vitatu Bei 38M☎️0693 468394

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 13,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI CHEKABEI;MILION 13 NA LAKI TANOUKUBWA;SQM 750CALL 0742121038

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA(INAJITEGEMEA)📍Kigamboni-Darajani(Karibu na Barabara)💰600,000 Na mwezi mmoja ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

Nyumba Inauzwa sifa zake ni Vyumba 3 vya kulala Sebule jiko n k Bei Ml 55kIpo kigamboni mji mwema ki...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

#kigamboni #house for sale “”””””#kigamboni #house for sale:::::::.#kigamboni #house FOR SALE:::::::...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

STANDALONE HOUSE FOR RENT VYUMBA VINNE VYA KULALA VIWILI VINA MASTER SEBULE, DINNING NA JIKO LA KISA...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 25,000 per sqm

1*Hizi ni beach plots kigamboni puna*1sqm moja cash 22000Installement ndani miezi sita 25000 k...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

HOUSE FOR RENT STEND ALONE INAPANGISHWA KIGAMBONI ___VYUMBA V5. VYAKULALA VITATU MASTER SITING DININ...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

#Repost dalali_hans_kigamboniPLOT FOR SALE /NYUMBAINAPANGISHWA KIGAMBONILOCATION: MWEMBE MDOGO , KIG...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

Kiwanja kinauzwa ukubwa niSqmt 600 Bei Ml 28k Kipo kigamboni mji mwema Tuwasiliane mapema 📞☎ 074691...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule na jikoKodi 300k kwa mwezi Zipo kigam...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule na jiko Kodi 200k kwa mwezi Zipo kiga...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 10,000,000

VIWANJA VINAUZWA CHEKA KIGAMBONI Bei milioni 100767672719📱0767672719Viwanja vipo Cheka kigamboni Vi...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 105,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA ______________#location_kigamboni_mwembe_mdogo_______________Miundombinu Yake____b...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KIBADA MWELA KIGAMBONI VYUMBA VITATU Plot size ;...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 25,000

Miradi Mipya Kigamboni – PUNA BEACH & RESIDENTIAL PLOTS 🏡Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm. 500-800🔴...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 785,000,000

PRIME RESIDENTIAL PLOTS FOR SALE IN KIGAMBONI📍LOCATION : KIBADA , KIGAMBONI(9km kutoka daraja la ny...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 7,500,000,000

BISMILLAH🌺 KIGAMBONI KISARAWE 2 ENEO LA KIWANDA UKUBWA NI HEKA 21 BEI NI BILLION SABA POINT TANO (...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYU...