Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 40,000,000
Project
Yes

OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND .NJOO NA LAKI MBILI NA KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI SITA
_____________________________________
0699088721)!0674582245whtasp
____________________________

HIZI NI SITE MBILI ZENYE OFA

Site ya kwanza ni site ya milioni moja na laki tatu anza na laki mbili kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi sita

Site ya pili ni ya sh milioni moja na laki tano anza na laki tatu kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitano

Ukubwa ni fut 50 kwa 40 pia unaweza kuunganisha hata sita

Umeme upo na maji ya DAWASA yapo fika ujionee mwenyewe.

Viwanja unavyoviona kwenye picha ndivyo vilivyo ni tambarale safi kabisa na wala siyo vile vya kujaa maji

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 500 hadi saiti
____________________________________
Ukubwa wa kiwanja na Bei zake

Futi 50 kwa 40 =million 1,000,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,200,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,300,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 1,500,000/=
Fut 50 kwa 40 =milioni 1,600,000/=
Fut 50 kwa 40 =milioni 1,800,000/=
Futi 50 kwa 40 =million 2,000,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 2,200,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 2,500,000/=
Futi 50 kwa 40 =milioni 3,000,000/=

KWA MITA KUNA
SQM 180
SQM 360
SQM 540
SQM 720
SQM 1080 ______________________________________
Huduma zote za kijamii zipo kwa mfano
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Zahanati✓
Balabala✓

Ofisi yetu ipo wazi kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Njoo ofisini twende site ukachagua kiwanja bora kwa makazi bora na salama.

Na unaweza ukaunganisha zaidi ya kimoja

Karibuni sana wateja KAMPUNI YA RAMAHA LAND uaminifu ni %%%100%%%

_____________________

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

💰Bei ml 45 house for sale📍 Mbagala chamazi saku👉 bedroom 4 master 1 public toilet 🪑 Sitting room...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

🏠 Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi dar es salaamBei Tsh million 270759128747 0624436503071205835...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 129,000,000

NJOO NKUZIE HII NYUMBA BOSS WANGU NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 129 TUIPO MBAGAL...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

BOSS NJOO NKUZIE HII NYUMBA BOSS WANGU NYUMBA KALLI SANA INA UZWA TSH MIL 100 TUNYUMBA IPO MBAGALA C...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 37,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOIL...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 37,000,000

🏠 Nyumba inauzwa ipo mbagala mbande kuseweBei Tsh million 370759128747 06244365030712058357 whatsap...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

NYUMBA INAUZWA MBAGALA CHAMAZIBEI;MILION 22CALL 0742121038

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

NYUMBA INAUZWA MBAGALA CHAMAZIBEI;MILION 22V2 VYA KULALA KIMOJA MASTER,SEBULE,JIKO,DINNINGCALL 07421...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

🏠 Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Bei Tsh million 450759128747 06244365030712058357 whatsappIna ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 43,000,000

🏠 Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Bei Tsh million 430759128747 06244365030712058357 whatsappIna ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 44,000,000

🏠 Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Bei Tsh million 440759128747 06244365030712058357 whatsappIna ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

Nyumba inauzwa bei milioni 45 ipo mbagala chamazi magengeni. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting r...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 47,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

🏠 Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Bei Tsh million 45Ina vyumba vi tatu ikiwemo master bedroom in...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 155,000,000

NJOO BOSS WANGU UKAGUE HII NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 155 TUIPO MBAGALA MAJI ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA INAUZWA ✅<> location mbagala Chamanz <> details ✏️👇🏻3bedrooms 1master Dining Room 2Bathroom...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA INAUZWA ✅<> location mbagala Chamanz <> details ✏️👇🏻3bedrooms 1master Dining Room 2Bathroom...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

#NYUMBA INAUZWA LOCATION MBAGALA CHAMAZI DAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 NYUMBA KUBWA YA FAMILIA BEI MILIONI 6...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroo...