Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000
Project
Yes

HAPA NI ZINGA BAGAMOYO BARABARANI, UKIONA BANGO HILO JUA MRADI WETU NDIO UPO HAPOHAPO.

TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA

📌 Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.

📌 Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.

📌 Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.

📌 Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

📌 Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

📌 Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

NYUMBA MPYA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM, BODA 1000 BAJAJI 700.____________________________==K...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

KIWANJA NZURI KILICHO GUSA LAMI KINAUZWA MBEZI KWA MSUGURI (DK 10) KUTEMBEA KWA MGUUBEI NI MILIONI 1...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000,000

HOUSE FOR SALE; LOCATION: MBEZI BEACH MASSANA. SQM: 600Nyumba ina vyumba vi4 vyote master, (makaba...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI ___Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSe...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH AFRIKANA______________________#CHUMBA_S...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA #VYUMBA_VITATU_VYA_KULALA FAMILY APARTMENT FOR RENTIKO-DAR-ES-SALAAM ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 370,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi mwisho magari saba karibu kabisa na barabar...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

STAND ALONE MZURI SANA INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZIUMBALI KM/ 1 BODA BUKU KU...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO KWA MSUGURIDAKIKA 10📍 *KODI YAKE 180K X4//*#VYUMBA VIWILI VYA KULALA📍HAKUN...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 350,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH AFRIKANA______________________#CHUMBA_S...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO N MIEZI 4.APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA KODI 250,000X6 LOCATION: MBEZI NJIA YA MALAMBA VYUMBA VIWILI VYA ...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

MASTER KUBWA SEBULE NA JIKO LAKE KALI MNO MBEZI KWA MSUGURI KM 2AU UKIPITIA NJIA MARAMBA DK 10 KWA M...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿Apartment Classic For RentLocation: MBEZI LUGURUNI Karibu Na Ofisi Za Manispaa Ya UBUNGO Distanc...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

MASTER KUBWA SEBULE NA JIKO LAKE KALI MNO MBEZI KWA MSUGURI KM 2AU UKIPITIA NJIA MARAMBA DK 10 KWA M...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

#APARTMENT NZURI NA KUBWA. INAPANGISHWA💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO#CHUMBA KIKUBWA#SEBULE KUB...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Frame inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

FRAME INAPANGISHWAMBEZI YA CHINI ( KWA ZENA)INATIZAMA LAMI MILLION 1.2 KWA MWEZI MALIPO HATA MIEZI ...