Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

(600,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗠𝗔𝗚𝗨𝗙𝗨𝗟𝗜APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA B...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 Tsh. 200k#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI KIBANDA CHA MKA...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kibanda cha mkaa km 2Kodi 200000 kwa mwezi ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ⛱️ ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃N...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,700,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPANDE W...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 2 KWENYE FENSI APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APATIMENTI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO MBEZI MAGUFULI UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 1,5USAFIL...

Sh. 387,747

🇹🇿Apartment Classic For Rent Zipo 2 Kwenye Fence Location: MBEZI MWISHO Nyuma Ya Stand Ya MAGUFULI...