Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000
Project
Yes

ZINGA ZINGA ZINGA BAGAMOYO

SWIPE LEFT ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰.........

TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

๐Ÿ“Œ Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.

๐Ÿ“Œ Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.

๐Ÿ“Œ Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.

๐Ÿ“Œ Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

๐Ÿ“Œ Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

๐Ÿ“Œ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

๐Ÿ“Œ Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

๐Ÿ“Œ Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 350,000,000

Plot For Sale Mbezi Msakuziย ๐Ÿ›ฃ๏ธ 3km From Morogoro Road ( Mbezi Magufuli Terminal)๐Ÿท๏ธPriceย ย ย ย ย ย SQM 3...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

DATE: 20/1/2026HOUSE FOR RENT: APARTMENT ASKING PRICE: MILIONI 2TERMS OF PAYMENT: MIEZI 6DIRECTION ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

#APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION MBEZI YA MAGARI SABACHUO CHA SENT JOSEPH DAR ES SALAAM Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 300,000

#APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION MSASAN MBEZI BEACH โ›ฑ๏ธ DAR ES SALAAM Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ“ŒFULL FURNITURE ------...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 900,000,000

HOUSE FOR SALE MBEZI BEACH KWA ZENA UKUBWA WA KIWANJA - SQM 550UMILIKI - HATI YA WIZARA ( TITLE DEE...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA ๐ŸขMAHALI : MBEZI BEACH (ALMAS STREET)๐Ÿ”ธ CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTA)๐Ÿ”ธ S...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

NYUMBA MPYA NZURI SANA INAUZWA BINAFSI ๐Ÿ“MBEZI MWISHO MAKABEBei mil 65 chap chapEneo = 357 SqmtMaji-...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

Nyumba Mpya InauzwaMahali: Mbezi Kwa MsuguriBei: Milioni 130 (Mazungumzo)โ˜‘๏ธUkubwa: Sqm500โ˜‘๏ธSifa: Vyu...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NIMEISHUSHA BEI NIMEISHUSHA BEI SASA KODI 400,000 X 6APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KWA SASA KODI NI 400,000 X 6APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION:MBEZI YA MAGARI SABA/ CH...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

CHUMBA SEBULE JIKO CHOO FOR RENT PRICE TSH LAKI 600000LOCATION MBEZI BEACH MASANA LAMI NYUMBA CONTAC...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 2,500 per month

LUXURY HOME FOR RENTLOCATION : MBEZI BEACH RENT : USD $2500 PER MONTH 4 bedrooms Living roomDinningK...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000

(410,000X3) AU (360,000X6))MBEZI MWISHO DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD....โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–SIFA ZA NY...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH UPANDE WA JUU MASANANyumba lami hugus ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

ApartmentHouse for rent2roomsPrice 1,500,000KwamweziMalipo miezi 12Location mbezi beachTangi bovu

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

NYUMBA INAPANGISHWA IPO TEMBONI MKONO WAKULIA KAMA UNAELEKEA MBEZIUMBALI KM/ 2,/ 4 KUFIKA USAFIRI B...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT KUBWA NA NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 200,000/= X 4๐Ÿ’ฅ APARTMENT HII INASIFA Z...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH MASANA NJIA YA GOBA ___________________...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 750,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH NEAR SHOPPERS ______________KODI T...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH MASANA BARABARANI KABISA...