Viwanja vinauzwa Mlandizi, Pwani (402 sqm)


Aina
Kiwanja
Ukubwa
402 SQM
Awali
Inaruhusiwa
Sifa
Maelezo
Je, unatafuta eneo sahihi la uwekezaji na linalokua kwa kasi? 🏡📈
Karibu uwe sehemu ya ukuaji wa kasi unaoendelea Mlandizi, eneo linalozidi kuvutia wawekezaji kila siku.
✅ Ipo takribani KM 3 kutoka Industrial Park
✅ Karibu na reli ya SGR
✅ Miundombinu ya maji na umeme ipo
✅ Inafaa kwa makazi na uwekezaji
✅ Eneo linaendelea kukua kwa kasi na kuongezeka thamani ya ardhi
💰 MFANO WA BEI
▫️ CASH — Tsh 3,216,000 kwa SQM 402
▫️ INSTALLMENT — Tsh 4,020,000/= kwa SQM 402
📌Lipa Tsh 200,000/= kwa mwezi
📌Mpaka miezi 20
Hii ni nafasi yako kumiliki ardhi kwenye eneo lenye maendeleo makubwa kabla bei haijapanda zaidi
📍Dar Office Zetu Zinapatikana Makumbusho, Mwanga Tower 12th Floor.
📍Dodoma Nyerere Square (Imarika Floor No 2)
✍️ Siku Zetu Za Kutembelea Site
- Jumatano
- Jumamosi
- Jumapili
Calls/WhatsApp
☎️0747519264



















