Frame inapangishwa Kitunda, Dar Es Salaam







Nyumba 2 na fremu 4 zinauzwa kitunda (kivule kwa mpemba)
BEI MILION 76 MAONGEZI YAPO KIAS
πNyumba yq kwanza (kubwa) ina vyumba v4
kimoja masta
Dining siting jiko
Nyumba ya pili kuna vyumba kwa ajili
ya kupangisha havijaisha
FREM 4 ZA BIASHARA
Gar moja had mjin
Eneo sqm 460 (makadilio)
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Whatsap au piga